Friday, December 12, 2014

form 6 2014 awards

SPORTMAN OF THE CLASS
  1. john malyeba
  2. meshack kibaja
  3. nuhu keneth
  4. damian sanga
  5. steven sanga
  6. sebastian kazi
  7. francis cyrill
SPORTGIRL OF THE CLASS
  1. nambela juma
  2. saada edward
  3. catherine mwakijungu
  4. gift sanga
  5. ekarista ngwita
GIRLS GOT TALENT
  1. catherine mwakijungu
  2.  saada edward
  3. erica kirumbi
  4.  ekarista ngwita
  5. merina kyando 
QUIET BUT LOVED BY MANY
  1. angelina kamara
  2. boniphace kagumila
  3. ajira juma
  4. eunice cyprian
  5. nyambilile jacob 
GENTLEMAN OF THE CLASS
  1. rodrick kato
  2. sebastian kazi
  3. joshua nkyami
  4. fadhili minja
  5. gabriel mlawa
SMART GIRL OF CLASS
  1.  linda nyato
  2. nambela juma
  3. sechelela lemanya
  4. lizzy massaki
  5. philotea jacob
SOCIAL PERSON OF THE CLASS
  1. jiseph setti
  2. ombeni sichone
  3. jesse jessen
  4. innocent msambule
  5. betuel mbogoro
  6. nuhu keneth
BEST CLASSMATE
  1. abbas goth
  2. haroun banzi
  3. issah omary
  4. sturmius mayemba
  5. hamadi said
  6. ernesta mhimbira
BESTFRIENDS EVER
  1. hannah-ivone-daria
  2. ekarista-saada-nnjaki
  3. merina-ronica-linda
  4. zaidu-mwaibambe-mitinje
  5. lamar-joh-respqueous
  6. sheddy--ngailo--mullah 
SLOGAN OF THE CLASS
  1. ni mwana-----FrankTemu
  2. hapa mob------Joseph Setti
  3. itafanya fisi-----Mbunde
  4. siwezi-----Charles Haule
 To vote in FORM 6 2014 AWARDS what U a supposed to do is write eg.best class mate ever - Ernest a mhimbira send to 0656579931 this is to every category and every nominee

Monday, March 24, 2014

Romyzo


hahaaaaaa

INASIKITISHA JAMANI SOMA HII! Baba na mama
baada ya kurudi kazini pamoja wakakuta BARUA
iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba na mama,
ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe
wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya
meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya
kawaida kwenye maisha tunayoishi, najua
mtaumia kwa vile bado nasoma na ndo nipo
kidato cha kwanza..." Napenda kuwajulisha
kwamba sasa hivi mnaposoma hii barua sipo
nyumbani, nimetoroka mana nimegundua nina
uwezo wa kujitegemea kwa sababu mi ni kijana
mwenyewe umri wa miaka 14 na ninajua kipi
chema na kipi kibaya. Tangu mwezi mmoja
uliopita nilikuwa na uhusiano na binti mmoja
aliyeitwa Rachel, mwenye umri wa miaka 27 na
kwa sasa ndo naishi naye kwenye chumba
alichopanga. Nilipokuwa nyumbani sikuwa napata
hela za kutosha ila sasa nimeanza kushika noti
za shilingi 10,000... Msichana niliyenaye ni mzuri
sana wa umbo na ninampenda sana,
amenifundisha njia za kutafuta hela. Amenipangia
kazi ya kuuza madawa ya kulevya na yeye ikifika
usiku anaenda kuuza mwili wake, basi kila siku
tunapata hela ya kutosha, huyu mchumba wangu
ni msichana mwenye bidii, kwa siku analala
masaa 6 tu maana mwanaume yeyote akija
lazima awe naye chumbani kwa mda wa masaa 3.
Msiwe na hofu,nipo salama kabisa na nimeamua
kumwoa Rachel mana ni kila kitu kwangu. Pia
amenunua gari la kubebea mbao kwahiyo
biashara inaenda vizuri,Rachel ameenda kupima
afya na amekutwa na upungufu wa kinga
mwilini,mara nyingi namridhisha anapotaka kitu
flani, iwe kufanya naye mazoezi ya viungo au
kufanya naye mapenzi, si mnajua unapokuwa na
mgonjwa unakuwa naye karibu, ila mi pia sijihisi
vizuri mana kila saa nakohoa tu na sina uhakika
kama nimeathirika. Tumepanga baada ya miaka
miwili tutawatembelea, nadhani mpaka miaka
miwili iishe atakuwa ameshajifungua, na ni furaha
yangu mtamwona mjukuu wenu. Wazazi wangu
sina la kuongeza kwaherini Mungu akipenda
tutaonana. NB: "Baba na mama, mi nipo
chumbani kwangu najisomea, mnachokisoma ni h/
work ya mwalimu wa kiswahili alituambia tutunge
hadithi fupi ya kusisimua, naomba
muiangalie kama kuna makosa!